Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Ugonjwa wa UKIMWI bado ni tatizo katika nchi yetu ya Tanzania,lakini baadhi ya wananchi wengine wanaonesha kuridhika kuwepo kwa Ugonjwa huu eti kwasababu ya kupatikana kwa tiba ya miti shamba kama ambavyo babu Mchungaji Ambilikile wa Loliondo anavyotibu kwa Kikombe.Kuridhika kwao hudiriki kusema sasa ugonjwa huu umepata dawa ya kutibu.Ninachopenda kueleza kwa wenzangu ni kwamba tusiache kuchukua tahadhari kwa kisingizio kwamba Dawa imepatikana.Ushauri. Kwa waratibu wote wa UKIMWI wa wilaya Tanzania, Je,Mnaonaje kama kila mwezi kutoa taarifa ya hali ya maambukizi mapya na hali ya Ukimwi na kuweka kwenye mbao za matangazo ili watu waone hali ilivyo kuhusu Ugonjwa huu wa UKIMWI? |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe