Kweli kabisa wananchi wa Tanzania wajiunge na mfumo wa VICOBA ili waweze kuondoa umaskini kwa sababu tulio wengi tuna tatizo la kujiwekea akiba ambayo itatufanya tuweze kupunguza tatizo la mitaji na kutatua matizo ya dharura mfano ugonjwa ,ada za shule na tatizo la kiafya. | True people of Tanzania to join the system VICOBA order to eliminate poverty because we have many problems which itatufanya store might reduce the problem of capital and to solve urgent problems like illness, school fees and health problems. | Edit |