Kweli kabisa wananchi wa Tanzania wajiunge na mfumo wa VICOBA ili waweze kuondoa umaskini kwa sababu tulio wengi tuna tatizo la kujiwekea akiba ambayo itatufanya tuweze kupunguza tatizo la mitaji na kutatua matizo ya dharura mfano ugonjwa ,ada za shule na tatizo la kiafya. | (Bila tafsiri) | Hariri |