Uendelezaji huu wa elimu unaofanywa na Jumuia ya PEDO katika kisiwa cha Pemba kwa kuwasaidia wanafunzi katika masomo ya ziada ni wa umuhimu sana kulingana na mazingira yalivyo. Nimegundua kwa ufuatiliaji wangu kwamba yanapatikana manufaa makubwa na mabadiliko kwa wanafunzi waliobahatika kusaidiwa masomo kwa muda wa ziada na Jumuia ya Kukuza na Kuendeleza Elimu Pemba (PEDO). – Jamii inaridhia mchakato huu na wanatoa baraka kwa wanajumuia kuendeleza kuwasaidia vijana. | (Bila tafsiri) | Hariri |