Base (Swahili) | English |
---|---|
Uendelezaji huu wa elimu unaofanywa na Jumuia ya PEDO katika kisiwa cha Pemba kwa kuwasaidia wanafunzi katika masomo ya ziada ni wa umuhimu sana kulingana na mazingira yalivyo. Nimegundua kwa ufuatiliaji wangu kwamba yanapatikana manufaa makubwa na mabadiliko kwa wanafunzi waliobahatika kusaidiwa masomo kwa muda wa ziada na Jumuia ya Kukuza na Kuendeleza Elimu Pemba (PEDO). Jamii inaridhia mchakato huu na wanatoa baraka kwa wanajumuia kuendeleza kuwasaidia vijana. |
This promotion of education by the community of PEDO on the island of Pemba to help students in tuition is very important according to the circumstances of course. I have noticed that they are available for monitoring my gains and changes in the fortunate students who helped with studies and extra time to promote and develop Community Education Pemba (PEDO). Category inaridhia this process and give blessing to the community helping young people develop. |
Translation History
|