Envaya

/pedo/post/81071: English

BaseEnglish
Uendelezaji huu wa elimu unaofanywa na Jumuia ya PEDO katika kisiwa cha Pemba kwa kuwasaidia wanafunzi katika masomo ya ziada ni wa umuhimu sana kulingana na mazingira yalivyo. Nimegundua kwa ufuatiliaji wangu kwamba yanapatikana manufaa makubwa na mabadiliko kwa wanafunzi waliobahatika kusaidiwa masomo kwa muda wa ziada na Jumuia ya Kukuza na Kuendeleza Elimu Pemba (PEDO). – Jamii inaridhia mchakato huu na wanatoa baraka kwa wanajumuia kuendeleza kuwasaidia vijana.This promotion of education by the community of PEDO on the island of Pemba to help students in tuition is very important according to the circumstances of course. I have noticed that they are available for monitoring my gains and changes in the fortunate students who helped with studies and extra time to promote and develop Community Education Pemba (PEDO). – Category inaridhia this process and give blessing to the community helping young people develop.Edit
Ipo haja ya kujikita zaidi katika alimu ya stadi za maisha kama vile elimu ya ukimwi, mazingira, ujasiriamali, uvuvi nakadhalika. – Kufanya hivyo ni kuwajengea wananchi njia sahihi ya kujikwamua kutokana na umaskini unaoendelea kulitesa taifa letu la TanzaniaWe need to focus more on life skills teacher training as well as AIDS education, environment, entrepreneurship, fishing et cetera. – Doing so is building the country the right way to get rid of poverty by developing our nation persecutes TanzaniaEdit
Napongeza sana juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na jumuia ya kukuza na kuendeleza elimu kisiwani Pemba. Jumuia hii inajaribu kutanuwa wigo kwa kuwahusisha wadau mbalimbali wa elimu katika kisiwa cha Pemba. Aidha wananchi wamefarajika kwa kiasi kikubwa kuona mabadiliko yaliyopatikana toka kuanzishwa kwa jumuia hii.Napongeza taken very actively developing and promoting community education and develop the island of Pemba. This community tries to involve stakeholders kutanuwa expanded range of education on the island of Pemba. Either people have farajika largely from the introduction to see changes made to this community.Edit
(image)(Not translated)Edit