Base (Swahili) | English |
---|---|
Survey ya Athari za Mafuriko,Keko Wilaya ya Temeke. Yafuatayo ni Maswali na majibu: 1.Unaishi eneo gani Mtaa wa Magulumbasi 'A' 2.Mtaa wako Unahitaji kitu gani sana sana Mtaa wangu unahitaji
3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba yako na vitu vyako Vitu vyote vya ndani vilielea juu ya maji na kusombwa na kupotea,bidhaa zangu za biashara(Machinga) nazo pia zilipotea,(nguo za kike na za kiume,urembo) 4.Mafuriko yameleta athari gani kwenye maisha yako ya kila siku Baada ya kupoteza mtaji,maisha yameendelea kuwa mabaya maana hata pesa ya kula na kutunza watoto sina. 5.Vyanzo vya ubora wa maji kwenu vimepata athari gani kutokana na mafuriko. Maji ya kutumia kwa matumizi ya kawaida ya kisima yamechanganyika na maji taka hivyo kuleta athari za magonjwa ya mlipuko hasa kwa watoto. 6.Kama una kazi inachukua muda gani kutoka nyumbani kwako mpaka sehemu yako ya kazi. Kwa sasa sina kazi baada ya mtaji wangu kupotea,ila wakati bado nna ajira ilikua inanichukua dakika 15 kufika sehemu yangu ya kazi.
|
Flood Impact Survey Keko Temeke District. Following are questions and answers: What area 1.Unaishi Magulumbasi Street 'A' What do you need your 2.Mtaa very My local needs
What 3.Mafuriko localized effect on your home and your things All items in vilielea on the water and gone and lost, my products business (Mchinga) have also vanished, (clothes female and male, beauty) What 4.Mafuriko localized effect on your daily life After losing capital, life continued to be negative for even money to eat and take care of its children. 5.Vyanzo of water quality has received what effect you from flooding. Water use for normal use of the well and water yamechanganyika want it to impact the epidemic diseases in children. 6.Kama you how long it takes to work from your home to your workplace. For now its working after my capital loss, except when employment grew inanichukua doctrine and replaces still 15 minutes to reach my place of work. |
Translation History
|