Fungua

/nuruhalisi/post/6196: Kiswahili

AsiliKiswahili
Jamii bado inaitaji kuelimishwa zaidi kuhusu utunzaji wa mazingira pamoja na AFYA za walaji hivyo tunaitaji kuungana pamoja yaani JAMII,SERIKARI na ASASI ili kufanikisha hayo.(Bila tafsiri)Hariri
Mchakato huu ni endelevu na huu ni mwanzo tu.Hivyo tunawaomba wadau wote wa sekta ya AFYA wajitokeze ili tushilikiane na serikari yetu katika kufanikisha suala hili.(Bila tafsiri)Hariri
NURU HARISI WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MAMA NA BABA LISHE – DIRA YETU NI KUWAWEZESHA WAUZA VYAKULA NA MATUNDA WAZINGATIE YAFUATAYO ILI KUEPUKA KUENEA KWA KIPINDUPINDU KWA WATEJA – Osha vyombo kwa maji safi na sabuni Kufunika vyombo vyote vizuri na kwa usafi chemsha au tibu maji yote ya kunywa na kutengenezea juisi ya wateja na yafunikwe wakati wote Mpe mteja wako chakula kikiwa cha...(Bila tafsiri)Hariri
Add a commentOngeza maoniHariri
Your email:Email yako:Hariri
Your email address will not be published.Anwani yako ya email haitachapishwa.Hariri
Your location:Mahali ulipo:Hariri
%s said:%s alisema:Hariri
(optional)(sio lazima)Hariri
Publish commentChapisha maoniHariri
CommentsMaoniHariri
DecemberDesembaHariri
{month} {day}, {year}{day} {month}, {year}Hariri
SwahiliALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE { UMAKI } ni shirika lisilo la kiserikali na watu wake wa kujitolea ni 1. KENETH MKATA 2. MOHAMED KIZERU 3. MWANAIDI SALIMUHariri
(unknown language)kiswahil(lugha nyingine)Hariri