Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Tunaomba ufadhili kutoka mashirika yanayosaidia NGOS ili shirika letu liweze kufanya kazi kikamilifu kwani bado wachanga sana tunahitaji ushirikiano na mashirika yoyote yenye malengo yanafofanana na yetu: 1.Kuhusu watoto yatima 2.HIV/AIDS 3.Mazingira na upandaji wa miti 4.misaada ya kisheria 5.Elimu na uendeshaji wa shule |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe