Envaya

/TCCIAMT/post/107351: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
Envaya ni nyenzo bora na rahisi sana katika kufanya mawasiliano ya kubadilishana habari na taarifa, ujuzi na uzoefu tofauti kuhusu masuala ya nyanja mbalimbali miongoni mwa jamii ya AZAKi hapa Tanzania na pengine duniani kote. Tunashukuru kwa ubunifu huu na tunatoa pongezi za dhati tukiamini kwamba mradi huu utakuwa endelevu kwa manufaa ya jamii ya AZAKi na watanzania kiujumla.(Not translated)Hindura
Tunashauri ubunifu huu wa Envaya ukawafikia na kutumika na AZAKi nyingi kwa kuteuliwa watendaji au waratibu wa Mitandao ya AZAKi ya kila Mkoa ili wajengewe uwezo zaidi kuhusu namna ya kutumia teknolojia hii muhimu sana katika dunia hii. Baada ya kujengewa uwezo zaidi basi wapatiwe assignment ya kuhakikisha kila AZAKi katika Mkoa husika inayoweza kutumia teknolojia hii basi wahakikishe wanazifikia na kuwezesha uwezo wa kutumia Envaya kwa ajili ya kupashana habari na...(Not translated)Hindura
Tanzania Chamber of Commerce Industry and Agriculture (TCCIA) - Tawi la Mkoa wa Mtwara tumeanza utekelezaji wa Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Jamii katika kufanya Ufuatiliaji wa Matumizi ya Fedha na Raslimali za Umma (PETS) kupitia Mipango ya Kuendeleza Kilimo Wilayani (DADPs) na Mipango Shirikishi Jamii ya Kilimo na Mifugo (PADEP) ambayo ni sehemu ya mipango, mikakati na miradi ya Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo (PKSK) au maarufu ASDP. – Mradi huu unatekelezwa katika...(Not translated)Hindura
Add a commentTanga igitekerezoHindura
Your email:(Not translated)Hindura
Your email address will not be published.(Not translated)Hindura
Your location:Aho uherereyeHindura
%s said:%s bavuzekoHindura
(optional)(Not translated)Hindura
Publish commentHitisha igitekerezoHindura
CommentsIbitekerezoHindura
(edited {date})(Not translated)Hindura
MarchWerurweHindura
{month} {day}, {year}{day} {month}, {year}Hindura
SwahiliIgiswayireHindura