Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Wana AZAKi tujipange vilivyo katika kuhakikisha kwamba kila Mtanzania anashiriki kikamilifu katika mchakato wa mapitio na kutungwa kwa Katiba Mpya. Uzoefu unaonesha kwamba watu walio vijijini hupitwa na michakato mingi ya Kisera na Maendeleo, lakini kwa hili la Katiba tuhakikishe kwamba tunafanya kila tutakaloweza ili kuwafikia watanzania wote wakiwamo wa vijijini na makundi yaliyokatika hatari zaidi ya kuathirika na umaskini. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe