Serikali ijiahidi kuliangalia suala la maji kama Dawasco wameshindwa,hivyo kuwepo njia mbadala ili kunusuru maisha ya watu hawa dhidi ya magonjwa ya mlipuko yanayoweza kujitokeza kutokana na hali hii. | Government ijiahidi addressing the issue of water as DAWASCO have failed, so there alternatives to save the lives of these people against epidemic diseases that can arise from this situation. | Edit |