Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Walimu wote wa shule za sekondari Manispaa ya Mtwara wamekigomea chama cha walimu Tanzania(CWT)! Walimu hao wamekigomea chama hicho wakidai makato makubwa hali inayowaongezea ugumu wa maisha! Je, ni sawa? |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe