Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Pamoja na mikutano na wanakijiji wa Singino kule Kilwa lakini tulipata bahati ya kutembelea wajasiriamali ambao wanapata kipato chao kwa njia ya uvuvi wa Maliasili za bahari.Wako duni sana hawana vifaa vya kuvulia na ili kuwatoa huko ni kwa kuwafundisha njia hii ya ufugaji wa samaki wa maji chumvi kwa njia ya kitaalamu zaidi ndio maana tumechukua eneo kwa kushirikiana nao basi tuache mazalia ya bahari yasiharibiwe ovyo kwa vifaa duni na badala yake tutumia njia mbadala ya kufuga kwa maji chumvi lakini kwenye mabwawa.angalia wavuvi hawa Hawa ni samaki wa baharini wanaopatikana huko Kilwa.Tulipata bahati ya kuwala kwa wingi na ni watamu ajabu. Wavuvi wana vifaa duni vya kuvulia Samaki.Tunawasaidiaje jamani Vijana wamechoka na wanarudi bila Samaki kwani wangekuwa na Mashua na vifaa vizuri wasingeonekana katika hali hii
Mama huyu mjasiriamali akikaanga samaki zetu tulizonunua
|
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe