Kuna tabu kubwa sana inayowkumba wanafunzi wa shule zilizo nje kidogo ya mjini kwa kuwa wanakataziwa na makonda kupanda na wasafiri wakubwa hatuwasaidii kuwatetea watoto hawa halafu tunalaani kufeli kwao tukiilaumu serikali kutokuwa na miundo mbinu wakati sisi hatusapoti chochote. | There is great difficulty inayowkumba school students are a little out of town because they kataziwa and lean growing older travelers and not accomplish anything on behalf of these children then we condemn them to failure and we blamed the government no infrastructure when we sapoti anything. | Edit |