Envaya

/mzizifoundation/topic/122477/add_message: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
Kila uchao vijana wanahangaika katika kujikwamua na changamoto mbalimbali zinazowahusu. vijana wanapambana na matumizi ya madawa ya kulevya, ukatili wa kijinsia, changamoto mbalimbali za kielimu katika shule zetu, kasi ya maambukizi ya vvu nk. – katika nchi yetu vijana wanaongoza kwa zaidi ya asilimia 60% kwa kasi ya ongezeko la maambukizi ya vvu. hii inasababishwa na vijana wengi kukosa nafasi ya kujifunza kuhusu haki za afya ya uzazi na ujinsia ikiwemo changamoto za kiutamaduni...(Not translated)Hindura
Safi sana vijana wa Mzizi........ – Hongereni sana kwa hatua hii, yaonyesha ni jinsi gani ambavyo mko makini katika kutetea Haki za Afya zya Uzazi na Ujinsia kwa vijana wenzenu – Sijawasahau, hata ninyi pia mwajitetea kwani mnahusika moja kwa moja...... – Kila kitu chawezekana penye nia ....... – Haki za AFYA YA UZAZI NA UJINSIA KWA KIJANA KUTETEWA ni muhimu kama kweli twahitaji vijana wenye kujiamini na...(Not translated)Hindura
Hongereni sana, pamoja na matatizo mliyo nayo njia pekee ya mafanikio msikate tamaa endeleeni kujitangaza na kushirikiana na asasi mbalimbali pamoja na mamlaka husika(Not translated)Hindura
Hongera mwanangu report yako ni nzuri sana nimeipenda, tupo pamoja tutasaidiana Ahsante sana(Not translated)Hindura
Haya bwana,tumeaona ila serikali yawezekana haiwatambui!Au mmefanya juhudi /nini kuijulisha serikali(Not translated)Hindura
@Mzizi Cultural Troup (Iringa): – HAKI NA WAJIBU – Kijana anaye taka kupata haki ya afya ya uzazi ni lazima akumbuke kuwa ni wajibu wake kulinda afya pia. Wajibu wa kulinda afya ni wa kila mmoja wetu. – Dr Clifford Majan – ABHASU(Not translated)Hindura
Karibu kwenye kilele cha siku ya mtoto wa Afrika tarehe 16/06/2012? Hii pia itatangaza kazi zenu kwa umma hasa vijana au vipi? Unakaribishwa kushiriki kikao cha tarehe 4/06/2012 kwa ajili ya maandalizi ya siku ya mtoto wa Afrika.(Not translated)Hindura
hongela dr vijana tunapotea(Not translated)Hindura
Naomba msaada kwenu wadau wa maendeleo na Afya hususani Afya ya uzazi na haki kwa vijana. – Vijana tupo katika hali mbaya ambayo mara nyingi hupelekea mimba za utotoni,watoto wasio tarajiwa na hata wengi wao kuishia kuwa watoto wa mitaani. ikumbukwe kuwa si wote wanaopata mimba wamekusudia kupata mimba. – Ulimwenguni kote kwa mujibu wa Shirika la kimataifa la Women Global Network for Reproductive Health (WGNRR) Makadirio ya zaidi ya mimba 41.6 milion duniani...(Not translated)Hindura
Afya ya uzazi ni haki ya kijana je? tutaweza kuitetea kwa kutumia mazingira yetu ya asili?(Not translated)Hindura