Base (Swahili) | English |
---|---|
Vijana wa Dira Goup waki cheza Lizombe. |
Vijana wa Dira Group waki katika mchezo wa kuigiza katika kufikisha ujumbe kwa jamii juu ya sera na sheria za ardhi. Katika igizo wananchi walipata kufahamu namna ya kutatua migogoro ya ardhi, aswa ile ya wakulima na wafugaji na inayo husu mipaka. Mabaraza ya ardhi ya kijiji yalipata fulsa ya kufahamu aina ya migogoro wanayo wajibika nayo. |
Comments
Dira group inajitaidi kuwafikia wana nchi wa vijiji vya ndani kabisa ambapo wengine ina wawia vigumu.
March 13, 2014 by dtg
|
Translation History
|