Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/mzizifoundation/topic/122477
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Kila uchao vijana wanahangaika katika kujikwamua na changamoto mbalimbali zinazowahusu. vijana wanapambana na matumizi ya madawa ya kulevya, ukatili wa kijinsia, changamoto mbalimbali za kielimu katika shule zetu, kasi ya maambukizi ya vvu nk. – katika nchi yetu vijana wanaongoza kwa zaidi ya asilimia 60% kwa kasi ya ongezeko la maambukizi ya vvu. hii inasababishwa na vijana wengi kukosa nafasi ya kujifunza kuhusu haki za afya ya uzazi na ujinsia ikiwemo changamoto za kiutamaduni...
(Bila tafsiri)
Hariri
Safi sana vijana wa Mzizi........ – Hongereni sana kwa hatua hii, yaonyesha ni jinsi gani ambavyo mko makini katika kutetea Haki za Afya zya Uzazi na Ujinsia kwa vijana wenzenu – Sijawasahau, hata ninyi pia mwajitetea kwani mnahusika moja kwa moja...... – Kila kitu chawezekana penye nia ....... – Haki za AFYA YA UZAZI NA UJINSIA KWA KIJANA KUTETEWA ni muhimu kama kweli twahitaji vijana wenye kujiamini na...
(Bila tafsiri)
Hariri
Hongereni sana, pamoja na matatizo mliyo nayo njia pekee ya mafanikio msikate tamaa endeleeni kujitangaza na kushirikiana na asasi mbalimbali pamoja na mamlaka husika
(Bila tafsiri)
Hariri
Hongera mwanangu report yako ni nzuri sana nimeipenda, tupo pamoja tutasaidiana Ahsante sana
(Bila tafsiri)
Hariri
Haya bwana,tumeaona ila serikali yawezekana haiwatambui!Au mmefanya juhudi /nini kuijulisha serikali
(Bila tafsiri)
Hariri
@Mzizi Cultural Troup (Iringa): – HAKI NA WAJIBU – Kijana anaye taka kupata haki ya afya ya uzazi ni lazima akumbuke kuwa ni wajibu wake kulinda afya pia. Wajibu wa kulinda afya ni wa kila mmoja wetu. – Dr Clifford Majan – ABHASU
(Bila tafsiri)
Hariri
Karibu kwenye kilele cha siku ya mtoto wa Afrika tarehe 16/06/2012? Hii pia itatangaza kazi zenu kwa umma hasa vijana au vipi? Unakaribishwa kushiriki kikao cha tarehe 4/06/2012 kwa ajili ya maandalizi ya siku ya mtoto wa Afrika.
(Bila tafsiri)
Hariri
hongela dr vijana tunapotea
(Bila tafsiri)
Hariri
Naomba msaada kwenu wadau wa maendeleo na Afya hususani Afya ya uzazi na haki kwa vijana. – Vijana tupo katika hali mbaya ambayo mara nyingi hupelekea mimba za utotoni,watoto wasio tarajiwa na hata wengi wao kuishia kuwa watoto wa mitaani. ikumbukwe kuwa si wote wanaopata mimba wamekusudia kupata mimba. – Ulimwenguni kote kwa mujibu wa Shirika la kimataifa la Women Global Network for Reproductive Health (WGNRR) Makadirio ya zaidi ya mimba 41.6 milion duniani...
(Bila tafsiri)
Hariri
Afya ya uzazi ni haki ya kijana je? tutaweza kuitetea kwa kutumia mazingira yetu ya asili?
(Bila tafsiri)
Hariri