Envaya
/hakielimu/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Ben Pol, Tanzania Music Artist , R&B Singer , Kilimanjaro music awards 2011 for Best R&B song of year and... http://t.co/7WMS9HMV
(Bila tafsiri)
Hariri
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAMPENI YA ‘BORESHA ELIMU YA CHEKECHEA http://t.co/NjnQwEu6 http://t.co/EMjE57Kq
(Bila tafsiri)
Hariri
@NancyLazaro Je mwalimu huyu alikuwa ni wa shule ya msingi au darasa la awali (chekechea)
(Bila tafsiri)
Hariri
@NancyLazaro Hongera zimfikie mwalimu wako kwani alichukua jitihada kubwa kukufundisha mambo mengine ambayo ulitakiwa ujifunze chekechea
(Bila tafsiri)
Hariri
#TafakariChukuaHatua ushiriki katika #BoreshaChekechea kwani huko ndipo ulipofundishwa a,e,i,o,u na leo unajua kusoma tweets @OrijinoKomedi
(Bila tafsiri)
Hariri
#TafakariChukuaHatua kama bado hukumbuki leo ni #SikuYaWalimu na watu wanawapa pongezi walimu wao waliowafuta ujinga
(Bila tafsiri)
Hariri
@shilindeson Mwalimu alifanya kazi kubwa sana je unaweza ukatupa beti moja tu Hongera sana Mwalimu Tatu #SikuyaWalimu
(Bila tafsiri)
Hariri
@EmmanTarimo Embu tukumbushe kwa nini umemkumbuka mwalimu NDONDE unakumbuka somo la kwanza toka kwake #SikuyaWalimu
(Bila tafsiri)
Hariri
@BatsyM Big Up kwa Mama naona ana ujumbe mzuri ona hapa http://t.co/IYQn8sV4 mjibu basi naye #SikuyaWalimu
(Bila tafsiri)
Hariri
EXCLUSIVE: Mwanamuziki wa R&B @IamBenPol ashiriki katika kampeni ya #boreshachekechea na hivi ndivyo alivyoshiriki http://t.co/7WMS9HMV
(Bila tafsiri)
Hariri