Log in

/TYNF/news: English

BaseEnglish
Kulingana na ukubwa wa tatizo la watoto walio katika mazngira hatarishi serikali na wadau wengine wametakiwa kufuatilia kwa ukaribu kumbkumbu za watoto waliosajiliwa awali ili kujiridhisha na usahihi wa takwimu za awali na takwimu mpya.Kulingana na ukubwa wa tatizo la watoto walio katika mazngira hatarishi serikali na wadau wengine wametakiwa kufuatilia kwa ukaribu kumbkumbu za watoto waliosajiliwa awali ili kujiridhisha na usahihi wa takwimu za awali na takwimu mpya.Edit
Planned activities....actual implementation and comments(Not translated)Edit
ikiwa jamii inatambua ya kwamba watoto ni wetu sote kwanini isijitoe kuwalea? hii inaonesha kwamba jamii inathamini zaidi watoto wao wa kuwazaa na kuwaacha wengine wakitaabika hivyo kauli ya pamoja tuwalee inabaki kama msemo tu tena usio na faida yoyote kwa taifa, hii inafanya taifa kuzidi kuwa masikini kwani pengine hao tunaowaacha wangesoma wangeweza kuwa mawaziri au hata viongozi wakubwa katika ngazi za juu.if society recognizes that our children are all why isijitoe nurturing? This shows that society values ​​more than their children to bring forth and leave the others were troubled that statement with tuwalee remains as saying only again without any benefit to the nation, this makes people become increasingly poor as perhaps those we leave would be reading would be ministers or even heads giants levels.Edit
umejifunza nini..ainisha vipengele muhimu vya kufanyiwa marekebishoWhat have you learned .. identified key elements to be amendedEdit
- kupeleka fomu za usajili wa familia zinazolea watoto walio katika mazingira hatarishi – -kufuatilia maendeleo na utendaji kazi wa kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi na kuzijengea uwezo – -kutembelea na kuimarisha uhai wa vikundi vya worth na kuvijengea uwezo kiutendaji- Send registration form zinazolea families of children in risky – -Tracking the development and operation of committees children in risky and capacity building – -Visit and improve the life of civil kuvijengea Worth and operational capacityEdit
(B)kufanya uhuishaji wa takwimu za watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi na mahitaji yao.Vilevile kujua ni watoto wangapi wamezidi umri wa chini ya miaka 18 na niwangapi wamesajiriwa kwa mara ya kwanza katika daftari la usajiri. – (C)Changamoto kubwa tuliokumbana nayo ni kutoka na geographia ya wilaya ya sikonge kuwa mbaya hivyo basi barabara nyingi zimekua zikipitika kwa shida sana .Vilevile kulingana na bajeti ya mradi posho iliyopangwa kwa wafunyakazi hazitoshi kabisa...(B) make the animation of the figures of children living in high-risk environments and needs yao.Vilevile know how many kids they have exceeded the minimum age of 18 years and have sajiriwa niwangapi for the first time in the registration book. – (C) The biggest challenge we face is from the geographia district a sisal that bad so many roads has grown zikipitika with great difficulty. Also according to the budget of project allowances planned for wafunyakazi totally inadequate...Edit
-kuhuwisha takwimu za awali za watoto walio katika mazingira hatarishi – -kufanya usajili wa familia zinazolea watoto wenye uhitaji – -kutambulisha mradi wa pamoja tuwalee kutoka jali watoto – c)posho ya kujikimu wakati tunapokuwa field haitoshi – -usafiri haukidhi viwango kulingana na eneo husika la mradi – d)posho iongezwe kwa kufuata uahalisia wa eneo husika – -usafiri uboreshwe ili kuepuka usumbufu unasababisha...-Kuhuwisha original data of children who are in vulnerable – -Do family registration zinazolea needy children – -Introduction project with tuwalee from child care – c) subsistence allowance when we field is not enough – -Transport does not meet the standards according to the project area – d) an allowance added to follow the reality of the area – -Transport is improved in order to avoid interruption caused delays...Edit
lengo la shirika letu ni kutokomeza vikwazo vya maendeleo na kuhakikisha kila binadamu anaishi maisha bora, hasa makundi yaliyosahaulika katika jamii na yanayoishi katika mazingira hatarishi.Our organization's goal is to eliminate barriers to human development and ensure all live a better life, especially disadvantaged groups in communities and groups living in risky environments.Edit
kufuatilia shughuli zinazofanywa na kamati zinazo lea watoto yatimamonitoring activities undertaken by committees beneath orphanageEdit
FOMU YA TAARIFA YA MWEZI KUTOKA FIELD – 1.Jina la shirika 2.jina la mradi 3.wilaya 4.imetayarishwa na 4.tarehe 5.imepitishwa na – -vijiji vilivyotembelewa, lengo la matembezi 3. changamoto zilizojitokeza 4. kutokana na changamoto hizo unapendekeza nini kifanyike? 5. ni jambo gani jipya ililojifunza? 6. ainisha vipengele muhimu vya kushughulikiwa 7.unafikiri liboreshwe vipi? 8. hadithi ya mafanikioFORM OF INFORMATION IN THE FIELD – 1.Jina the organization's project 2.jina 3.wilaya 4.imetayarishwa and 4.tarehe 5.imepitishwa and – -Villages visited, purpose of visit 3. challenges arising 4. due to these challenges suggests what can be done? Five. ililojifunza what is new? 6. identify key elements addressed liboreshwe 7.unafikiri how? Eight. success storyEdit