Log in

/hakielimu/news: English

BaseEnglish
Walimu watoa maoni yao kuhusu mtihani wa #neshino unaotarajia kufanyika kesho http://t.co/csSWNnAw pia fuatilia #neshino utume ujumbe wako(Not translated)Edit
Naibu Waziri wa Elimu , Philipo Mulugo kusimamia mtihani wa #neshino katika mkoa wa Dar Es Salaam (Source Uhuru )(Not translated)Edit
@lifeofmshaba @JohnKomakoma @piusmicky @Tanganyikan TATIZO NI JINSI GANI HIZO HESABU ZINAFANYIKA, KUSHADE CORRECT ANSWER, NI KIPIMO SAHIHI?(Not translated)Edit
#Neshino will feature multiple-answer questions from which canditates are expected to shade correct answer using HB pencils( Daily News)(Not translated)Edit
(image) – Na Joachim Mushi,...(Not translated)Edit
Ugatuaji (decentralization) wa Baraza la mithani Tanzania (NECTA) wapendekezwa na TAMONGSCO ili kumaliza wizi wa #neshino(Not translated)Edit
Waziri wa Elimu Dr. Shukuru Kawambwa kusimamia uchakuchuaji wa #neshino mkoa wa Pwani limeandika Uhuru(Not translated)Edit
@lifeofmshaba @JohnKomakoma @piusmicky @Tanganyikan Tatizo ni usimamizi na udanganyifu uliokithiri kwa mtihani wa kushade tutegemee?(Not translated)Edit
Makatibu na wakurugenzi wa Wizara ya Elimu kusimamia #neshino katika mikoa tofauti, lengo kudhibiti udanganyifu (Source Uhuru)(Not translated)Edit
Mawaziri, wadau wa elimu na wasaidizi wao waandamizi wajitosa kusimamia mtihani wa darasa la saba. Lengo likiwa... http://t.co/b15hKl1e(Not translated)Edit