Log in

/tawa/news: English

BaseEnglish
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
(image)(Not translated)Edit
KWA NINI TUNAHITAJI USHIRIKI WA MWNAMKE KATIKA KATIBA MPYA? – Kwa kuwa tunahitaji katiba itakayokidhi matakwa ya mwanamke na mwanaume ,hivyo ushiriki wa makundi yote haya kwa uwiano sawa ni muhimu ili kuleta mabadiliko ya kweli na kupata katiba itakayosimamia usawa, haki ,utu na heshima ya wananchi wake bila kujali jinsia. – Kutokana na changamoto hii na kwakuzingatia idadi ya watanzania inayoonyesha kuwa...Why do we need MWNAMKE PARTICIPATION IN THE NEW CONSTITUTION? – For that we need a constitutional requirement itakayokidhi man and woman, so the participation of all these groups in equal proportion is necessary to make a real difference and get itakayosimamia constitutional equality, justice, dignity and honor of its citizens regardless of gender. – Due to this challenge and kwakuzingatia number of Tanzanians showing that women have a large...Edit
(image)(Not translated)Edit
Tanzania Women of action (Tawa) tumefanikiwa kupata uwakilishi katika kongamano la wanawake na katiba liloandaliwa na Women Fund Tanzania(WFT) .Kongamano hili limefanyika kuanzia tarehe 22 mpaka 24 october mwaka huu na kuhudhuriawa na washiriki wanawake kutoka mikoa 19 ya Tanzania.Kwa ushiriki huo tumeweza kuweka mikakati ya pamoja ya masuala muhimu yanayo mgusa mwanamke ili yaingizwe katika katiba mpya.Tanzania Women of action (Tawa) have managed to get representation in forum ladies and constitution liloandaliwa and Women Fund Tanzania (WFT). Convention was held from 22nd to 24th october this year and kuhudhuriawa and women participants from regions 19 of Tanzania.Kwa share the same We can put together strategies of the key issues which touched a woman to be included in the new constitution.Edit
Katika utafiti Tunaoendelea kuufanya ,tumegundua masuala mbali mbali katika kundi la wanawake walioko pembezoni na kugundua kuwa ,ili wanawake tuweze kushika hatamu na kuleta mabadiliko ya kweli ni lazima tuyajumuishe makundi ya wanawake yaliyoko pembezoni.In making Tunaoendelea research, we have discovered several issues in a group of women who are around and found that, for women we can keep control and bring about real change must tuyajumuishe women's groups that are marginalized.Edit
(image)(Not translated)Edit