Asili (Kiingereza) | Kiswahili |
---|---|
Kwa hakika na uwezo wangu natumia muda mwingi sana kupata njia ambayo itaweza kumsaidia mtoto ambaye anaishi mazingira magumu na hasa ambao wanakuwa na uwezo wa kuelimishwa na wakapata elimu na baadae kuwa watengemewa wa taifa la kesho, suluhisho langu ni kuwa, nitatoa msaada wangu kwa hali na mali kama mimi nilivyo saidiwa wa watu wa shilika la kusaidia watoto mpaka nikapata elimu ambayo sikutengemea, na ahidi kuwa nitambambana kuhakikisha watoto wanaoishi mazingira magumu wanapata elimu. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe