Fungua

/MpalanoCDO/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
Mafunzo ya kuimarisha uwezo wa wanawake viongozi Wilaya ya Mbozi kaza za Ichenjezia, Nyambili, Iyula, Isanza, Ipunga, Ihanda, (image) Mlowo, Ruanda na Isandula. Kwa Ruzuku kutoka women Fund Tanzania.(Bila tafsiri)Hariri
(image) Members of Mpalano CDO Board during board meeting in Dar es Salaam recently.(Bila tafsiri)Hariri
June Mwaka 2016,Mpalano CDO kwa ruzuku kutoka Women Fund Tanzania (WFT) ilitekeleza mradi wa Kuwajengea uwezo Wanawake na Wasichana ili kukuza haki zao za kiuchumi na kisiasa Wilaya ya Mbozi, Songwe, Tanzania. Mradi huu uliwawezesha viongozi wanawake wa kuchaguliwa na wa vikundi vya kijamii wakiwemo wasanii kukuza sauti zao katika katika vyombo vya maamuzi. Vyombo hivyo ni pamoja na mahali wanapofanyia shughuli zao za kiuchumi na katika ngazi ya...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Wana vikundi kutoka vijiji vya Mbambo, Kambasegela na Ilamba wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya wakiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Maendeleo ya Jamii Agnes Elikunda, na Mkuu wa Idara ya Mifugo Dr. Sangwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, baada ya kutoa mafunzo ya uhamasishaji kuhusu ufugaji wa kuku, sungura na nyuki! Kulia (aliyevaa koti) ni Mratibu wa Mpalano CDO, Edson Mwaibanje. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Mpalano CDO Juni 30-31, 2018.(Bila tafsiri)Hariri
Wajumbe wa vikundi vya Uzalishaji mali katika Kijiji cha Mbambo, Wakionesha vitendea kaz ili kuanza kazi rasmi baada ya mafunzo yaliyotolewa na Mpalano CDO kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya Busokelo mkoani Mbeya. – (image)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Paul Mwakalinga, Mmoja wa waanzilishi wa Kikundi cha Utunzaji wa MAzingira ya Ziwa Ikapu, kijiji cha Mbambo Halmashauri ya Wialaya Busokelo Mkoani Mbeya. Pichani anaelezea mradi wa Ufugaji nyuki.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Baadhi ya Wanachama wa Kikundi cha Utunzaji wa Mazingira ya Ziwa Ikapu, walioamua kuacha kufanya shughuli hatari kwa mazingira ya ufyatuaji wa tofali na badala yake wameanza kufanya shughuli rafiki kwa mazingira ikiwemo kufuga nyuki na kufuga kuku. Mpalano CDO ni mlezi wa kikundi hicho kwa kukipatia ushauri na mafunzo.(Bila tafsiri)Hariri

UCHAGUZI MKUU 2015 (Tangazo la Redio) – JE DIWANI WAKO WA SASA, ANATIMIZA WAJIBU WAKE? – SIKILIZA, – Mojawapo ya wajibu na kazi za diwani ni Kuhakikisha kuwa fedha na mali nyingine za Halmashauri zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa ya kuleta maendeleo na kuboresha huduma. – Fedha za...(Bila tafsiri)Hariri