Fungua

/yad/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Wanafunzi wa shule ya msingi ya Barafu iliyopo ktk manispaa ya Kinondoni wakinywa uji wa lishe. Mradi wa kuboresha elimu ya Msingi unasimamiwa na YAD ktk baadhi ya shule za majaribio. Mradi umeongeza mahudhurio ya wanafunzi, umepunguza utoro wa wanafunzi na kiwango cha ufaulu kinaongwzeka. Hivyo tunakusudia kuaza mradi huu katika shule za msingi zote nchi nzima.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mkurugenzi mtendaji wa YAD akifafanua umuhimu wa vijana kushiriki katika harakati zote za kimaendeleo kwa kushirikiana na Serikali, akifungua makongamano ya kuhamasisha vijana kujitokeza kwa wingi katika kujiandikisha na upigaji kura kwa katiba pendekezwa na Bunge maalumu la katiba. Na kasisitiza kuwa vijana wawe mbele katika swala zima la kuilinda na kuienzi amani ya nchi yetu katika kuendea uchaguzi mkuu wa octoba 2015. Pia ameomba wadhamini...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Wajumbe wa baraza la katiba la YAD wakipata chakula siku ya pili.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – VIJANA WAKIWA MAREKANI{YALI}(Bila tafsiri)Hariri