Fungua

/woy/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image)(Bila tafsiri)Hariri
Makundi ya Vijana wenye ulemavu wakutosikia wakichambua katiba kwa kina (image)(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Children of WOY club speak out their voice during the children rights radio program(Bila tafsiri)Hariri
White Orange Youth imeanza kukusanya maoni kutoka kwa vijana wa Moshi kuhusiana na rasimu ya katiba mpya. Washiriki wakiwa katika vikundi wakichambua rasimu ya sasa. – Mkutano huu umeanza leo katika ukumbi wa Mr. Price city hall Moshi tarehe 28 mpaka 30 August 2013 (image)(Bila tafsiri)Hariri
Ms. Nsile Mwakalobo conducted a monitoring visit to White Orange Youth’s office today (7 Oct 2013) to measure the impact of project that funded by the Foundation of civil society (image)(Bila tafsiri)Hariri
Ulingo wa Mabaraza ya Rasimu ya Katiba Mpya-Moshi Mjini – UTANGULIZI – Vijana wa Manispaa wa Moshi wamepata fursa ya kukutana pamoja kwa muda wa siku tatu na kutoa maoni yao kuhusiana na rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkutano huu wa kukusanya maoni ulifanyika tarehe 28 hadi 30 mwezi Agust 2013 katika ukumbi wa Mr. Price uliopo Moshi mjini na uliandaliwa na shirika la vijana...(Bila tafsiri)Hariri
A.JINA KAMILI LA ASASI – WHITE ORANGE YOUTH – B.NAMBA YA MRADI ...(Bila tafsiri)Hariri
washiriki wakijadili rasimu ya katiba mpya na kutoa maoni ya maboresho (image)(Bila tafsiri)Hariri
Mkutano wa siku 3 wa kukusanya maoni ya katiba umemalizika na vijana wamefanikiwa kutoa maoni yao. mambo makuu yaliyojitokeza ni pamoja na. Madaraka ya rais ni makubwa, idadi ya wabunge na idadi ya majimbo yaongezwe, haki za walemavu zibainishwe, lugha ya kiswahili iwekewe mkazo na kuthaminiwa, serikali tatu italegeza utengano wa muungano (image)(Bila tafsiri)Hariri