Napenda kuzungumzia swala nzima linalozikabili asasi mbalimbali Nchini la kukosa majengo ya kudumu. Swala hili limekuwa tatizo kwa asasi nyingi hapa Nchini na kupelekea asasi nyingi kushindwa kufanya shughuli zake kwa ubora unaotakiwa, ukizingatia wafadhili wengi hivi sasa awatowi pesa kwa ufadhili wa ujenzi majengo ya ofisi. Je, swala hili mnafikiri nini kifanyake ili kukabiliana na tatizo nzima la majengo ya kudumu kwa asasi? Naomba mchango wa mawazo katika... | (Not translated) | Hindura |