Log in

/HUCADE/news: English

BaseEnglish
(image) – watoto wakiwa pamoja na volunteer Sophia katika pozi kwa maandalizi ya Xmas kwani anawahamasisha watu wenye huruma wawasaidie watoto hawa kupitia maandishi hayo.(image) – children as well as volunteer physician Sophia in preparation for Xmas as he encourages people with compassion to help these children through these writings.Edit
(image) – karibu tule matunda hayaaaaa!!!(image) – almost eat fruits yaaaaa!!Edit
(image) – Volunteer Sophia akiwa na watoto wakila matunda katika shamba la strawberry(image) – Sophia Volunteer with children eating fruit in the strawberry fieldEdit
(image) – Kuwahudumia watoto yatima na kuwapa maadili ya kiroho pia ni jamnbo jema kwao kama inavyoonekana kwa watoto hawa ambao baadhi yao wamebatizwa na kubarikiwa(image) – Serving orphans and give them spiritual values ​​are also good jamnbo them as shown by these children some of whom have been baptized and blessedEdit
(image) – Hapa ni watoto wa kituo wakiimba pamoja na mkurugenzi wao.(image) – Here are the children of the station and singing along with their director.Edit
(image) – Watoto wakiwa wamechoka baada ya kutoka uwanja wa mpira wakiwa na mwalimu wa pamoja na Sophia(image) – Children being tired after a football stadium with a teacher with SophiaEdit
(image)(Not translated)Edit
(image) – Watoto wa kituo wakifurahia na kucheza muziki .(image) – Children's center enjoying and playing music.Edit
(image) – Huduma inayotolewa na Hucade ni pamoja na kuwasaidia walemavu wa viungo kama binti huyu anavyoonekana baada ya kukatwa katwa na watu wasiojulikana, hata hivyo Mungu Ameweza kumsaidia ameponya roho yake japo hana kiungo muhimu hivyo kutegemea msaada wa watu wengine.(image) – Services offered by Hucade include links to help disabled people if this girl is seen after the cut down by unidentified people, however God has Ameweza help save his soul, though no significant link so depending on the help of others.Edit
(image) – Watoto wakiwa wanakunywa chai mara baada ya masomo ya ziada kituoni(image) – Children while they drink tea immediately after tuition centerEdit