Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/nydt/post/5
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
wanachama wa nyakitonto youth for development Tanzania katika picha baada ya mafunzo ya namna ya kuandaa mpango kazi wa asasi wa miaka mitano katika ukumbi wa redcross,kigoma ujiji.
(Bila tafsiri)
Hariri
kwakweli mmejipanga kwakuakomboa wananchi nimependa mikakakati yenu
(Bila tafsiri)
Hariri
Mnaonyesha mfano bora wa kutaka kupambambana na maadui watatu yaani umasikini, ujinga na maradhi ambao ni mpngo ulioshindikana toka azimio la ARUSHA jini ya mwasisi wa taifa la TANZANIA
(Bila tafsiri)
Hariri
Ahsante kwa maoni yako.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image)
(Bila tafsiri)
Hariri