Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/IAVC/topic/22876/add_message
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Napenda kuzungumzia swala nzima linalozikabili asasi mbalimbali Nchini la kukosa majengo ya kudumu. Swala hili limekuwa tatizo kwa asasi nyingi hapa Nchini na kupelekea asasi nyingi kushindwa kufanya shughuli zake kwa ubora unaotakiwa, ukizingatia wafadhili wengi hivi sasa awatowi pesa kwa ufadhili wa ujenzi majengo ya ofisi. Je, swala hili mnafikiri nini kifanyake ili kukabiliana na tatizo nzima la majengo ya kudumu kwa asasi? Naomba mchango wa mawazo katika...
(Bila tafsiri)
Hariri
@Timothy W. Philemon (Zanzibar): – Timothy umewaza vizuri saana juu ya kuwa na jengo la mashirika , ila tatizo Tanzania hadi sasa hatuna Mtandao wetu ambao utatuwakilisha ndani na nje ya nchi. kwanini nasema hivi tuliitegemea saana TANGO na NACONGO lakini mabo yapo kimya saana juu ya hili. FSC, UNGO na Mtandao wa Mkoa wa Arusha walianza safari ya kuanzisha mtandao/Apex kwa lengo la kuwa Mtandao wa NGO zote Tanzania hata hivyo shughuli hizo ziliishia na...
(Bila tafsiri)
Hariri
Awali yote napenda kuomba radhi kwa kuchelewa kujibu. Kuhusu suala la jengo kwa ajili ya kufanyia. Sasa tunafanya nini ili tuweze kutatua tatizo hilo. Naomba muongozo wenu ili tuweze kuona uwezekano wa kusaidiana katika suala hii ambalo lime zikabili asasi hapa nchini kwetu.
(Bila tafsiri)
Hariri
Kwanza samaani sana kwa kuchukuwa mda mrefu kujibu taarifa yako. Nashukuru sana kwa kunielewa. Mimi nafikiri mda umetimia wakuanganisha nguvu zetu ili tuweze kutatua kwanza swala la majengo ya ofisi ya kufanyia kazi. Tuendelea kufanya ushawishi kwa mashirika mengine yatuunge mkono katika wazo letu. Asante sana kwa mchango wako. kwa pamoja tunaweza. @Modest J.Mkude (Morogoro-WEETU):
(Bila tafsiri)
Hariri
Jengo la kudumu kwa asasi mbalimbali
(Bila tafsiri)
Hariri