Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/KIWO/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – wajunbe wa kamati wanamuaga bi Rose joseph anbaye anawambia kuwa anapata shs.elfu kumi kila jumatano na ijumaa kwa kuomba omba jijini mwanza,kisesa iko mpakani mwa magu na jiji la mwanza.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – mama kulwa malila aliangukiwa nyumba mwaka jana hana pa kuishi ni mjane anaishi kisesa. alitembelewa na viongozi wa kiwo alipewa sukari na sabuni
(Bila tafsiri)
Hariri
baada ya kupokea pesa za kuendesha mradi wa kujenga uwezo wanachama na viongozi wa Kisesa womwn network . (image)
(Bila tafsiri)
Hariri
Uongozi wa kisesa women network unaoa shukurani za dhati kwa uongozi na watumishi wa The foundation for civil socierty kwa moyo wao wa uwajibikaji katika kufadhili mafunzo haya. – (image)
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – watoto wa mitaani walipotembelewa na viongozi wa KIWO. mwennyekiti katibu na mweka hazina.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – PICHA YA PAMOJA YA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU BAADA YA KUFARIJIWA NA VIONGOZI KIWO.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – PICHA YA PAMOJA YA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WAKIWAAGA VIONGOZI WA KIWO JULY 2013
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – watoto wa mitaani wakiambatana na viongozi kumtembelea mama aliyeangukiwa na nyumba
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – wajumbe wa kamati tendaji wakimpa Rose joseph vifaa vya kujikimu maisha ,sabuni,sukari mafuta na dawa za kuondoa upele.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – wajunbe wa kamati wanaendelea kumpa ushuri nasaha kwa vile ni kipofu anbaye maisha yake ni ya kuomba omba. na ameoa mwanaume ambaye hana kazi yeye ndiye anayetagemewa kwa maisha ya mjini.mwanaume eti analima.
(Bila tafsiri)
Hariri