Envaya
/Goodsamaritan/post/4
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Good samaritan Cbo ni shirika la kijamii lazima liendelee kuikumbusha jamii juu ya maabukizi kwamba bado yapo
(Bila tafsiri)
Hariri
Pamoja na corona kuwepo bado ukimwi upo tusijisahau.
(Bila tafsiri)
Hariri
Maisha yanabadilika laminitis ukimwi bado upo vilevile jambo kuu tupambane
(Bila tafsiri)
Hariri
ukimwi bado upo na bado hauna dawa
(Bila tafsiri)
Hariri
Kila jambo kubwa hunza na dogo hatuwezi kufikia malengo makubwa kama hatuanzi na madogo, ukimwi bado ni tishio
(Bila tafsiri)
Hariri
Elimu bado ni dogo sana juu ya wananchi
(Bila tafsiri)
Hariri
Wahanga wa ukimwi tusiache kunywa Dawa za kurefusha maisha.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image)
(Bila tafsiri)
Hariri