Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TEYODEN/post/115510
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Nawapongeza sana kwa juhudi zenu za kuwafanya vijana kujitambua na kuwa chachu ya maendeleo. Maranye agro processing social business ipo tayari kufanya kazi nanyi katika sector ya ukulima wa mboga mboga katika masha yetu ya mboga huko kisarawe
(Bila tafsiri)
Hariri
Hongereni sana mtandao wa vijana wa Temeke. Napenda kuchukua fursa hii kwa kuuomba uwongozi wa TEYODEN kushirikiana na sisi vijana wa Asasi ya MEECO ili tubadilishane uzoefu kwa lengo la kuboresha shughuli zetu zaidi pamoja na kuunda udugu na mshikamano
(Bila tafsiri)
Hariri
Nawapongeza sana TEYODEN kwa kweli ni mtandao unaolenga kuborsha maisha ya vijana Tanzania big up.
(Bila tafsiri)
Hariri
Donation
(Bila tafsiri)
Hariri
Mafunzo ya project management Naivasha Kenya yatakuwa chachu ya mabadiliko ya vijana kuelekea ujasiriamali na utengenezaji ajira binafsi kwa vijana. – Siku 8 za mafunzo ya uendeshaji wa miradi yaliyoandaliwa kwa ushirikiano na ILO y2y fund pamoja na UNHABITAT youth fund zimebadilisha mtazamo wa mameneja 10 kutoka Tanzania.Mameneja hao kwa sasa, wanafikiria kuboresha miradi 10 ambayo ILO...
(Bila tafsiri)
Hariri