Envaya
/AFSC/news
: English
Base
English
Mabadiliko ya tabianchi ni kikwazo kikubwa kwa jamii hususan vijijini tunawaalika wadau wa maendeleo kugeuza mtazamo na kuangalia sana mkoa wa dodoma na Tanga na vijiji vyake.
(Not translated)
Edit
VISION (VISION) Providing solutions for creative and potential in society marginalized in poverty reduction, changes in the natural environment in...
(Not translated)
Edit
ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE. – JINA LA ASASI:- ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE. – VIONGOZI MKUU 4 ME 3 KE 1 – MAKAIMU VIONGOZI WAKUU 6 ME 2 KE 4...
(Not translated)
Edit
Kule dodoma hasa vijijini wanahitaji msaada twendeni tukatoe elimu kumbuka elimu ni mtaji mkubwa kuliko mabilioni ya fedha karibuni wadau wa maendeleo na wakeleketwa wa maendeleo.
(Not translated)
Edit
Changamoto zote nchini Tanzania Tukijitoa kikamilifu Kwa moyo mmoja na nia moja Tutatoboa si kwa maneno tu bali kwa vitendo. – Silaha nzuri ya mapambano yetu ni hii;- A. Kila mtu afanye pale anapoweza bila kutegea. – B. Nguvu zile za kulaumu tuelekeze kutekeleza kazi zetu. C. kila mtu na atende kwa moyo sikwa kusukumwa wala kulazimishwa....
(Not translated)
Edit