Base (Swahili) | English |
---|---|
Ninaziomba Asasi za kiraia nchini, hasa wafanyakazi wa Asasi, kutolea taarifa shughuli tuzifanyazo kwenye maeneo yanayohusika. Tusipofanya hivyo, haitajulikana Asasi zetu zinafanya nini machoni mwa jamii. |
(Not translated) |