Log in

/sawata-mara/news: English

BaseEnglish
(image) – Kwenye mradi uliotekelezwa na SAWATA MARA chini ya ufadhili wa "HelpAge International" jamii ilishirikishwa kuwajengea nyumba wazee wasiokuwa na uwezo. Hapa mzee mmoja anajengewa nyumba katika Kata ya Suguti, kijiji cha Kusenyi.(image) – In a project undertaken by MARA SAWATA under the auspices of "HelpAge International" category ilishirikishwa re-house elderly who have no power. Here the old man is Allah Ta'ala built a house in County Suguti, Misenyi village.Edit
(image) – SAWATA MARA baada ya kutoa semina juu ya Sera ya Taifa ya Wazee, Ujasiriamari na Sheria Na.1 ya mwaka 2001, ya mfuko wa bima ya Afya ya jamii iliyotolewa katika kijiji cha Mwibagi Kata ya Kyanyari, kwa ufadhili wa "The Foundation For Civil Society" Dar-es-salaam, Tanzania. Semina hii ilitolewa mwezi Agosti, 2011. Na uundaji wa mabaraza ya wazee kwa ngazi ya kijiji na Kata. Vivyo hivyo, Mabaraza haya, yaliundwa katika vijiji mbalimbali kwa Kata nne za...(image) – SAWATA MARA after giving a seminar on the National Policy for the Elderly, Ujasiriamari and Law No.1 of 2001, to fund community health insurance issued in the village of Mwibagi Kyanyari County, with funding of "The Foundation for Civil Society "Dar-es-Salaam, Tanzania. This workshop was released in August, 2011. And the creation of councils of elders in the village and ward levels. Similarly, these councils, were established in various villages in...Edit
(image) – Wazee baada ya kupata semina juu ya Sera ya Taifa ya Wazee, Ujasiriamari na Sheria Na.1 ya mwaka 2001, ya mfuko wa bima ya Afya ya jamii iliyotolewa katika kijiji cha Nyambono Kata ya Nyambono, kwa ufadhili wa "The Foundation For Civil Society" Dar-es-salaam, Tanzania. Semina hii ilitolewa mwezi Agosti, 2011. Vile vile ilitolewa katika Kata za Bukima, Kyanyari na Bwiregi, kwa ushirikiano na wataalam wa Halmashauri ya wilaya ya...(image) – Elders after getting a seminar on the National Policy for the Elderly, Ujasiriamari and Law No.1 of 2001, a package of social health insurance issued in the village of Nyambono Nyambono County, financed by "The Foundation for Civil Society" Dar-es-Salaam, Tanzania. This workshop was released in August, 2011. Also released in the County of Bukima, Kyanyari and Bwiregi, in collaboration with experts of Council of Musoma rural...Edit
(image) – Hii ni picha ya wazee baada ya kuvuna pamba kwenye shamba lao la mradi wa pamba waliobuni baada ya uundaji wa mabaraza ya wazee Kata ya Suguti, kijiji cha Wenyere.(image) – This is a picture of the elderly after harvesting cotton on their farm's cotton project were developed after the formation of councils of elders Suguti County, village of Wenyere.Edit
(image) – Wezee hawa baada yakupatiwa elimu ya Sera ya Taifa ya wazee, kwenye mradi uliofadhiliwa na "HelpAge International" Dar-es-salaam. Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Vijijini, iliwaingiza kwenye miradi ya TASAF ya uvuvi.(image) – These Wezee after yakupatiwa education policy elders, the project was funded by "HelpAge International," Dar-es-Salaam. District Council of Musoma Rural, iliwaingiza projects TASAF fishing.Edit