Log in

/mof/post/31: English

BaseEnglish
Ina wezekana kurudisha matumaini kwa msitu wa SHENGENA kwa nia thabiti kwa pamoja kivitendo vitendo tuna weza kurudisha rangi ya kijani katika msitu wa shengena hima hima tuungane kwa pamoja tuokoe mazingira ya msitu huu tukumbuke kuwa misitu ni uhai!(Not translated)Edit
TWASHUKURU KWA HILI KAMA TUMELIONA KWA PAMOJA SASA NI KUPAMBANA NA USIMAMIZI WA UHIFADHI WA MAZINGIRA – TURUDISHE KIJANI YETU HAPA NCHINI NA DUNIANI TUKIAZIA SISI AKUMAKI, MOHISPAC,GREEN SUPPORT ORGANIZATION TANZANIA – HAYA SHEME SHEME – AZENI TUWAZE KUHIFADHI MAZINGIRA(Not translated)Edit
JAMBO HILI ELEKEZI NI BORA SANA KULIKALIA ASASI WANA CHAMA WA MAZINGIRA KULIPA NGUVU ZA HOJA NA UKAMILIFU PILI NAWATOLEA SHUKURANI ZETU ZOTE JUU YA SWALA ZIMA LA MAZINGIRA JE NDUGU. WAJUA KUWA ADUI WA MAZINGIRA NI MTU TAJIRI TUJIPANGE KWA HILO NASI TUKO PAMOJA HILI NDIO ONI LETU(Not translated)Edit
Tunashukuru kwa kututia moyo kuokoa msitu wa shengena.Tunaomba tushirikiane – kufanikisha hilo. – Mch Makenya – Mkurugenzi – Original Message:(Not translated)Edit
Facebook page(Not translated)Edit
Children corner/story(Not translated)Edit
Events(Not translated)Edit
HOW TO SAVE SHENGENA FOREST FOR TODAY AND FOR FUTURE GENERATION – Mohispac Foundation January 25 at 11:51 AM EAT We need all stakeholder to discuss on how we can save shengena forest?Not only that but also this discussion will open the way towards to the wonderfully environmental walks which will be held on 15 july 2013.All are...(Not translated)Edit
Donation page(Not translated)Edit