Envaya

/TEYODEN/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
TEYODEN YASHIRIKIANA NA WILAC KUJENGA UWEZO WA VIJANA KUKABILIANA NA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE. – Katibu waTEYODEN mwenyekiti na Mkurugenzi wa WILAC wamefanya kikao cha makubaliano ya ushirikiano ili kuwezesha vijana kuchukua majukumu katika kuhakikisha kuwa matatizo ya ukatili dhidi ya wanawake katika Halamashauri ya Manispaa ya Temeke unapungua. – Mwenyekiti wa TEYODEN alimwambia Mkurugenzi wa WILAC...(Bila tafsiri)Hariri
VIJANA MANISPAA YA TEMEKE SASA KAENI MKAO WA KULA. – TEYODEN katika hatua ya kutia moyo wamepata nafasi ya kuwa na mwalimu wa ujasiriamali aliyewezeshwa na ILO kupatiwa mafunzo ya anzisha na kuza wazo la biashara.Start and improve your business idea (SIYB). – Baada ya mafunzo haya,moja ya kazi za mwezeshaji huyu ni kuhakikisha kuwa vijana na wafanyabishara wengine wanakuwa wafanyabiashara zenye kuleta tija na kuondoa mazoea ya kufanya biashara kienyeji. ...(Bila tafsiri)Hariri
Donation(Bila tafsiri)Hariri
TANZIA – MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE UNAWATANGAZIA KUWA TUMEPATWA NA MSIBA WA KIJANA MWENZETU ABDUL BWANGA ALIYEKUWA AKIISHI KATA YA YOMBO VITUKA MANISPAA YA TEMEKE.MAZISHI YATAFANYIKA YOMBO DOVYA TAREHE 15/2/2014.VIJANA WOTE TUNATAKIWA KUSHIRIKI MAZISHI HAYO. (image) MAREHEMU ABDUL BWANGA WA PILI KUTOKA KUSHOTO...(Bila tafsiri)Hariri
(image) TEMEKE Municipal community development officer Mr John Mbwana 4th from left side representing,Temeke Executive director during official oppening of Youth Awareness on SGDs training conducted at Iddi Nyundo hall in Temeke Municipal Council Coumpounds others are UN officials from United National Information Centre and Temeke Youth Development Network(TEYODEN)(Bila tafsiri)Hariri
KIKAO NA ANNIE MARIE KATIKA HOTEL YA HOLIDAY IN JIJINI DAR-ES-SALAAM. – Safari ya Annie Marie kuja Tanzania yamkutanisha na Rafiki yake Prosper Maokola na Uongozi wa TEYODEN.Annie Marie ni mwanaharakati wa masuala ya vijana kutoka Canada akijishughulisha zaidi na masuala ya kambi za vijana sehemu mbalimbali za africa na marekani. ...(Bila tafsiri)Hariri
TEYODEN yaendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana. – Mtandao wa vijana upo katika harakati za kuinua uelewa wa vijana katika masuala ya ujasiriamali kwa vijana ambao wapo tayari kubadilisha maisha yao kutokana na kubadili mitazamo yao kutoka kukaa tu vijiweni au kumaliza shule/chuo na kulandalanda mtaani bila kufanya chochote.Takwimu zinazotokana na sensa ya watu ya mwaka 2012 inaonyesha vijana ni asilimia karibu 60 ya watu wote nchini na vilevile kwa mujibu...(Bila tafsiri)Hariri
MABADILIKO KWA WALENGWA WA MRADI WA MABINTI WALIO PEMBEZONI YAENDELEA KUONEKANA. – “Mafunzo ya stadi za maisha,elimu ya ujasiriamali na uwezeshaji wa mtaji wa kuanzia biashara umenifanya nibadilishe mtazamo na matendo yangu kuelekea kwenye hatua za mabadiliko”anasema Nuru Matimbwa,Mnufaika wa mradi wa Mabinti walio na watoto chini ya umri wa miaka 20. – Nuru Matimbwa...(Bila tafsiri)Hariri
USHIRIKI WA MTANDAO WA VIJANA NA MATUKIO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI TAREHE 1/12/2014 (image) (image) (image) (image) (image)(Bila tafsiri)Hariri
Entrepreneurship for All -- A New Approach to Youth Development – The hot new topic at global economic conferences that I've attended recently -- including events at the Aspen Institute, Youth Business International, the World Economic Forum, and the Clinton Global Initiative -- is the urgent need to expand ...(Bila tafsiri)Hariri
(image) (image) SDGs facilitator from United Nation Information and Development Centre, making a speach to youth representatives from 23 wards of Temeke Municipality.During the Training Youth were able to acquire SDGs knowledge which they could also go impart other youth to their respective wards.(Bila tafsiri)Hariri