Injira

/OVGA/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
Shirika limefungua chuo cha mafunzo kwa Vijana ili kuepuka ukosefu wa ajira ili kujinasua na wimbi la Umasiki mkoani Njombe.Vijana wote mnakaribishwa kwa kupata mafunzo ya Ufundi. Wanafunzi wote watakao hitimu watapewa Vifaa vidogovidogo vitakavyo wasaidi kama nyezo za kazi kwa Ufundi selemara,Ujenzi na Umeme.(Not translated)Hindura
(document)(Not translated)Hindura
(image) – This was training held in Lindi on 7&8th November 2014 with theme as To empowering YOUNG people to address climate change in the post 2015 Agenda - A call to Action. Goal. Raise awareness to the young people on the role they can play in address for climate change trends towards post 2015 development agenda in Tanzania.(Not translated)Hindura
(image)(Not translated)Hindura
we are looking for fund in order to accoplish our pro (document) ject(Not translated)Hindura
(image)(Not translated)Hindura
The organisation for vulnerable group Assistant (OVGA) Initiated youth club to takle Health issues basing Reproductive Health but not only that even environment issues, Good governance in athematic areas. they will work at southern part of Tanzania from moment workforce start working that will be generated from your cooperation, all of club members are graduate student. – i beg all of orgarnisation of youth basing to join my pentation and well cooperating with these youth....(Not translated)Hindura
(image) – Hawa ni baadhi ya Wanafunzi waliojiunga(Not translated)Hindura
OVGA/CHIDA kwa kushirikiana na Kampuni ya Kamhanda Auction Company tunatarajia kufanya utafiti wa Uelewa wa Wananchi kuhusu Uchumi wa Viwanda hasa Katika Upande wa Chai. Hata hivyo lengo ni kutathimini gharama za uwekezaji katika uzalishaji wa machani mabichi kama unaendana na bei ya soko. Pamojana na hayo Kampuni ya Kamhanda Auction Company Co. Ltd wanatarajia kushawishi serikali kushawishi na kuwa na mpango wa kuanzisha mnada wa pamoja. Utafiti huu u atarajiwa kuanza november 2016.(Not translated)Hindura