Envaya

/tasja/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – TASJA LOGO(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Katibu Mktendaji mpya wa TASJA Bernard Lugonga, akikabidhiwa vifaa vya kazi na Katibu Mtendaji mstaafu David Ramadhan, wengine wanaoshudia ni baadhi ya viongozi wa Kamati ya Utendaji ya TASJA(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Timu ya Viongozi wa TASJA ikiwa katika picha ya pamoja, kulia ni Mwenyekiti wa TASJA Grayson Mutembei pamoja na Katibu Mtendaji wake Bernard Lugongo, waliosimama ni Makamu Mwenyekiti Bakari Kimwanga na Mweka hazina Nasra Abdallah(Bila tafsiri)Hariri
(image) – FEMALE STUDENTS WORKING ON THE MACHINERY EQUIPMENT(Bila tafsiri)Hariri
(image) – FEMALE STUDENT IN THE LAB(Bila tafsiri)Hariri
TASJA yapata viongozi wapya (image) Mgeni Rasmi akifungua Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa Uchaguzi wa TASJA, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dk. Hassan Mshinda, akitoa hotuba ya ufunguzi, kushoto ni Meneja Mkuu wa Biashara na uwakala wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kilala Sendama. (image) Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa TASJA (image) Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Viongozi wa Kamati ya Utendaji ya TASJA wakiwa katika p;icha ya pamoja(Bila tafsiri)Hariri
Iran kushirikiana na Tanzania katika sekta ya Sayansi – (image) – Elizabeth Mlay (kulia kwa waziri ) mwanafunzi wa kidato cha sita kutoka shule ya Sekondari Jangwani iliyopo jijini Dar es Salaam akimuelezea Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (kushoto) jinsi ya kutengeneza dawa ya kusafishia na kuondoa harufu chooni. Waziri Prof. Makame alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa sherehe za mwaka wa...(Bila tafsiri)Hariri