| Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
|---|---|
|
watanzania tulio wengi ni mabigwa na wataalamu wazuri wa mawazo hasa wanasiasa wetu ila tatizo linapokuja pale inapofikia utekelezaji ndio mbinde ukitaka kuamini hilo angali kipindi cha uchaguzi kinapofia uambiwa maneno matamu na yakutia moya hata kama ulikuwa huna haja ya kupiga kura utahamasika mwenyewe kwenda kupiga kura. si hivyo tu kama mfuatiliaji mzuri kipindi cha majadiliano au utoaji wa muswada bungeni mawazo yanatoka mazuri na yakutia moyo ila sasa inapokuja kwenye utekelezaji nazidi kuamasika kukutolea mifano wa Sera na mikakati mingi ya serikali kama umebaatika kuiyona utaona mawazo na maono mazuri yaliyojaa katika sera hizo na mikakati hiyo. hayo yote ni mawazo ya watanzia yaliyo mazuri swali la kujiuliza ni kwanini mawazo hayo hayatekelezeki? |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe