Tunasisitiza wanawake wote tujenge nguvu za pamoja bila kujali cheo,elimu uwezo wa kimiliki pesa n,k Vile vile tusibaguane kutokana na jinsi tuhakikishe makundi yote ya wanawake yanashirikishwa( walemavu, wanawake wenye jinsia mbili (intersex0MAJIKE DUME)transgender na wenza wao | (Not translated) | Hindura |