Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Wanawake wanatakiwa wapate elimu ya uraia ,vile vile wahamasishwe vya kutosha ili waweze kujitokeza katika kutoa miochango yao ya mawazo katika katiba mpya ili kubadilisha mfumo kandamizi dhidi ya mtoto wa kike na (wanawake kwa ujumla. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe