About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/kukhawa/topic/123575/add_message
: English
Base
English
Mimi ni mmoja wa wakala tuliopata mafunzo katika shule ya maandalizi ya madungu ambae ni mmoja ya wakala tunaosambaza elimu hii juu ya kusajili ardhi hivyo kama kawaida yetu kila wiki kupita katika vijiji kama team work katika shehia yetu ila jumapili ya tarehe 28/07/2019. Tukiwa kijiji cha mtimbu tukitoa taaluma hii kuna mwanakijiji mmoja ana mgogoro wa ardhi na mwanakijiji mwenzake ambao sisi tulishindwa kutoa utatuzi na kurecord taarifa zake na tukamuahidi kuwa tutazileta kwenu muweze...
(Not translated)
Edit
Katika kujadili suala la maendeleo lazima tuangalie katika ngazi kadhaa za maisha kama vile kiutawala, kimakundi na hata mtu mmoja mmoja, tukiangalia mapinduzi na maendeleo ya miaka hamsini lazima tujue mambo muhimu katika mihimili ya maisha jee tumefanikiwa kama lengo la mapinduzi ni kujikomboa kiuchumi, kisiasa, kiakili, kijamii, kiutamaduni na kua huru katika kila nyanja ya maisha jee tupo huru?
(Not translated)
Edit
@KUPUNGUZA UMASIKINI NA – CONSTITUTION – FOR ...
(Not translated)
Edit
(Not translated)
Edit
(Not translated)
Edit
ZANZIBAR AND 50 YEARS OF REVOLUTION HAVE WE IMPROVED?
(Not translated)
Edit