Fungua

/kukhawa/topic/123575/add_message: Kiswahili: dMKqST8JkMS541ArCyhQCdVh:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili ((unknown language)) Kiswahili

Katika kujadili suala la maendeleo lazima tuangalie katika ngazi kadhaa za maisha kama vile kiutawala, kimakundi na hata mtu mmoja mmoja, tukiangalia mapinduzi na maendeleo ya miaka hamsini lazima tujue mambo muhimu katika mihimili ya maisha jee tumefanikiwa kama lengo la mapinduzi ni kujikomboa kiuchumi, kisiasa, kiakili, kijamii, kiutamaduni na kua huru katika kila nyanja ya maisha jee tupo huru?

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe