Base (English) | English |
---|---|
Mimi ni mmoja wa wakala tuliopata mafunzo katika shule ya maandalizi ya madungu ambae ni mmoja ya wakala tunaosambaza elimu hii juu ya kusajili ardhi hivyo kama kawaida yetu kila wiki kupita katika vijiji kama team work katika shehia yetu ila jumapili ya tarehe 28/07/2019. Tukiwa kijiji cha mtimbu tukitoa taaluma hii kuna mwanakijiji mmoja ana mgogoro wa ardhi na mwanakijiji mwenzake ambao sisi tulishindwa kutoa utatuzi na kurecord taarifa zake na tukamuahidi kuwa tutazileta kwenu muweze kumsaidia hivyo tunaomba ushirikiano wenu ili tuzidi kumsaidia na hii ndio itasaidia sana kukifanya kikundi chetu kizidi kusikilizwa katka kutoa taalamu hii namba yangu ni 0773747347 zantel
0678114021 tigo |
(Not translated) |