Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/aug/post/95351
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Katika kata ya Makuburi Wilaya ya kinondoni mafuriko yaliharibu nyumba za wakazi zaidi ya 261.Kusema ukweli hali ilikuwa mbaya sana.Tulishuhudia watu wengi wakibebwa na maji hasa mateja ambao wengi walikuwa wanaishi mitoni wakivuta madawa ya kulevya pia walikuwa wakijaribu kuokoa au kuchukua mali mbalimbali zilizokuwa zikibebwa na maji.Maji yaliingia hadi ndani ya nyumba nyingi kiasi kuwa vitu vyote vilikuwa vikielea na maji na kuharibika kabisa.Leo wakazi wengi wanaishi maisha ya taabu...
(Not translated)
Hindura
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)