Envaya

/ZANSA/post/12: English: CMB4McUGSIDayiI81vjqlleg:content

Base (Swahili) English
Mchango wangu ni huu:baada ya uchunguzi usio rasmi nimegundua kuwa vijana wengi hukata taama kwa mambo yakiwemo haya;
Kutothaminiwa juhudi zao za kujitolea.
2.kuona scout ni kazi bure isiyo na faida yoyote wala haioneshi maslahi kwao
USHAURI:Serikali iweke kiwango japo kidogo cha kuwatia hamasa wanachama wa scout ili ujione kuwa wanajaliwa.hata kama ni kazi ya kujitolea tu.
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register