Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/KIWO/news
: Kiswahili
1
2
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
(image) – wajunbe wa kamati wanamuaga bi Rose joseph anbaye anawambia kuwa anapata shs.elfu kumi kila jumatano na ijumaa kwa kuomba omba jijini mwanza,kisesa iko mpakani mwa magu na jiji la mwanza.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – mama kulwa malila aliangukiwa nyumba mwaka jana hana pa kuishi ni mjane anaishi kisesa. alitembelewa na viongozi wa kiwo alipewa sukari na sabuni
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – wajumbe wa kamati tendaji wakimpa ushuri nasaha mirenbe charles mjane, anayeishi katika mazingara magumu na watoto wadogo wanne wote hawajaanza shule.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – watoto wa mitaani walipotembelewa na viongozi wa KIWO. mwennyekiti katibu na mweka hazina.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – PICHA YA PAMOJA YA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU BAADA YA KUFARIJIWA NA VIONGOZI KIWO.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – PICHA YA PAMOJA YA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WAKIWAAGA VIONGOZI WA KIWO JULY 2013
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – watoto wa mitaani wakiambatana na viongozi kumtembelea mama aliyeangukiwa na nyumba
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – wajumbe wa kamati tendaji wakimpa Rose joseph vifaa vya kujikimu maisha ,sabuni,sukari mafuta na dawa za kuondoa upele.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – wajunbe wa kamati wanaendelea kumpa ushuri nasaha kwa vile ni kipofu anbaye maisha yake ni ya kuomba omba. na ameoa mwanaume ambaye hana kazi yeye ndiye anayetagemewa kwa maisha ya mjini.mwanaume eti analima.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – wajumbe wa kamati tendaji wakiendelea kumpa maelekezo ya kujisaidia kujiondolea upweke, na umaskini.pia wanampa vifaa vya kujikimu,sabuni,sukari,mafuta na dawa
(Bila tafsiri)
Hariri
Comments
Maoni
Hariri
March
Machi
Hariri
July
Julai
Hariri
{month} {day}, {year}
{day} {month}, {year}
Hariri
Swahili
ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE { UMAKI } ni shirika lisilo la kiserikali na watu wake wa kujitolea ni 1. KENETH MKATA 2. MOHAMED KIZERU 3. MWANAIDI SALIMU
Hariri
1
2
Ifuatayo »