UCHUNGUZI ZAIDI WA MAENEO YALIYOATHIRIKA NA MAFURIKO UNAHITAJIKA. – Baada ya mafuriko yaliyotokea tarehe 20/12/2011 kuacha familia zaidi ya 1800 zikiwa hazina makazi,upotevu wa mali na vifo vya watu zaidi ya 41,imebainika kuwa kuna haja ya kufanya uchunguzi akinifu ili kubaini madhara zaidi yaliyopatikana kutokana na ukweli kuwa... | Further investigation of flood-affected areas is needed. – After the floods occurred on 12.20.2011 leaving more than 1,800 families have no homes being, loss of property and deaths of people over 41, it is noted that there is a need to make an inquiry was faithful to identify more harm attained due to the fact that there are... | Edit |